Category

Kuitwa Kwenye Usaili

“Kuitwa usaili” translates to being called for an interview, which is the formal process where an employer selects and evaluates job applicants for various positions.
Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Wilaya Ya Kilindi 22-06-2026
Kuitwa Kwenye Usaili

Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri Ya Wilaya Ya Kilindi 22-06-2026

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 23/06/2026 hadi 24/06/2026, na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji watakaofaulu usaili huo. Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo: Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na: Havitakubaliwa na hawataruhusiwa kuendelea na usaili. Aidha, kila msailiwa […]

June 22, 2026 · 2 min read
Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs March 2026
Kuitwa Kwenye Usaili

Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs March 2026

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara, MDAs & LGAs Idara zinazojitegemea na Mamlaka za Serikali za Mitaa, anawataarifu waombaji kazi wote kuwa mchakato wa usaili umepangwa kufanyika kuanzia tarehe 27 Machi, 2026 hadi tarehe 17 Aprili, 2026. Lengo la usaili huu ni kupata watakaofaulu ili kuwapangia vituo vya […]

March 13, 2026 · 3 min read