GRAPHICS DESIGNER
Job Role Insights
-
Date posted
2023-11-14
-
Closing date
2023-11-14
-
Hiring location
Dar es Salaam
-
Offered salary
Negotiable Price
-
Career level
Middle
-
Qualification
Certificate
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
1 person
-
Gender
both
Job Description
TANGAZO LA KAZI NAFASI YA MBUNIFU WA MICHORO (GRAPHICS DESIGNER).
Sana Industries (T) Ltd ni kampuni inayopatikana Mbagala Dar Es Salaam ambayo imesajiliwa kwa kuzalisha na kuuza nywele bandia za binadamu zenye nembo ya ‘’ANGELS’’.
Tunatangaza nafasi moja ya MBUNIFU WA MICHORO (GRAPHICS DESIGNER).
SIFA ZA MWOMBAJI : -
- Amesomea na kuhitimu mafunzo ya kubuni michoro.
- Awe anajua kutumia programu mbalimbali.
- Awe na uzoefu zaidi ya mwaka mmoja.
- Awe na uwezo wa kupiga picha, kuchukua video na kuziboresha kwa kutumia kompyuta.
- Awe uwezo mzuri wa kutumia na kuweka picha kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.
- Awe mkazi wa Dar Es Salaam.
- Awe na kitambulisho cha Taifa au namba za NIDA.
- Umri usizidi miaka 30.
- Awe mwaminifu.
Tuma barua ya maombi, wasifu (c.v) pamoja na vyeti vya taaluma kwenye email : princedougrassmarshal@gmail.com
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 25.11.2023
Skills
Interested in this job?
0 days left to apply